Breaking News

Your Ad Spot

Feb 16, 2016

BOMBA KUBWA LA KUSAMBAZIA MAJI KUTOKA CHANZO CHA MAJI CHA RUVU CHINI LAFIKA JIJINI DAR ES SALAAM, KILOMETA 54.8 KATI 55.9 ZAJENGWA.

 Mafundi wakiendelea na kazi ya kulaza mabomba ya Maji eneo la Mbezi Beach jijini Dar es salaam. Mabomba hayo ambayo sasa yamekamilika kwa urefu wa kilometa 54.8 kati ya 55.9 yatatumika kusafirisha maji kutoka mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Chini, Bagamoyo mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages