Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu (kushoto) akimpongeza Kamishna wa
Operesheni na Mafunzo, CP Nsato Marijani baada ya kumuapisha leo Makao makuu ya
Jeshi la Polisi. CP Nsato Marijani amepandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi. (Picha na Hassan
Mndeme-Jeshi la Polisi).
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi,
CP Albert Nyamuhanga baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na
kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Fedha na Logostiki
wa Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi,
CP Robert Boaz baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri
wa Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu Kamishna wa Polisi na
kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Intelijensia wa
Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa Polisi,
CP Nsato Marijani baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269