Spika wa Bunge, Job Ndugai
akiongozwa na Mpambe wa Bunge kuingia kwenye ukumbi wa Bunge mjini
Dodoma kuongoza kikao cha kwanza cha mkutano wa tatu wa Bunge Aprili
19, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Ruth Owenya akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ritta Kabati akiapa kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Job Ndugai
(kulia) akimwapisha Ritta Kabati kuwa mbunge kwenye ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge, Job Ndugai
akimwapisha Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu, Shamsi Vuai Nahodha
kuwa Mbunge kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpongeza, Waziri Kiongozi wa Zanzibar Mstaafu , Shamsi Vuai Nahodha
baada ya kuapishwa kuwa Mbunge, Bungeni mjini Dodoma, Aprili 19, 2016.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa
Bumbuli na Waziri wa nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na
Muungano, January Makamba, bungeni mjini Dodoma Aprili 19, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269