Rais
John Magufuli akizungumza na wananchi na viongozi wakati wa uzinduzi
wa Daraja la Kigamboni Jijini Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI
MUSSA)
Wanahabari kwa kila mmoja katika sehemu yake
Wananchi wakimpungia mikono Rais Magufuli wakati alipokua akiondoka mara baada ya Uzinduzi wa Daraja hilo
Wasanii wa kikundi cha Dar Creators wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni
Rais Magufuli akiwapungia mimkono wananchi wakati alipokuwa akiondoka eneo la Daraja mara baada ya kulizindua
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269