Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala,
Charles Kuyeko, akizungumza na wanahabari kuhusu kumvua madaraka
Mhandisi wa Manispaa hiyo kwa kufanyakazi chini ya kiwango pamoja na
wasaidiziwake wawili.
Na Dotto Mwaibale
MANISPAA ya Ilala jijini Dar es Salaam
imemvua madaraka Mkuu wa Idara ya ujenzi, Mhandisi Japhery Bwigane na
wasaidizi wake wawili kwa tuhuma za kusimamia ujenzi wa barabara za
manispaa hiyo kwa kujengwa chini ya kiwango.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar
es Salaam wakati akitoa taarifa hiyo, Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Ilala, Charles Kuyeko aliwataja maofisa wengine wa idara hiyo
waliosimamishwa kuwa ni Siajari Mahili na Daniel Kirigiti ambao
wamehamishwa idara hiyo ili kupisha uchunguzi unaoendelea.
Kuyeko alisema kikao cha Baraza la
Madiwani kimefikia uamuzi huo baada ya manispaa kujiridhisha kuwa
maofisa hao wamechangia kwa kiasi kikubwa
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269