Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Meneja Rasilimali watu wa zamani wa Uhuru Publications Ltd, Lucas Kisasa, baada ya kumkuta nje wakati akienda ofisi za kampuni hiyo leo kujitambulisha kwa viongozi wa Kampuni hiyo ambayo ni wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na viongozi wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, leo. Kulia ni mpigapicha wa Magazeti ya Uhuru, Emmanuel Ndege na Wapili ni dereva wa UPL Chamlungu
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Peoples Media, Angel Akilimali, alipowasili kujitambulisha kwa viongozi wa Kampuni hiyo ambayo ni wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na viongozi wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, leo.
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Kaimu Meneja Rasilimali watu na Utawala, Paul Mg'ong'o, alipowasili kujitambulisha kwa viongozi wa Kampuni hiyo ambayo ni wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na viongozi wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM,
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (wapili kushoto) akifuatana na viongozi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Paul Mg'ong'o (kulia) na na Angel Akilimali wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, Kushoto ni Ofisa kutoka Makao Makuu ya CCM, Amos Siyantemi
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (wapili kushoto) akifuatana na viongozi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Paul Mg'ong'o (kulia) na na Angel Akilimali wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, Kushoto ni Ofisa kutoka Makao Makuu ya CCM, Amos Siyantemi
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akisalimiana na Kaimu Mhasibu Mkuu wa UPL Mama Masota
Baadhi ya viongozi wa UPL na Peoples Media wakimsubiri Dk. Pindi Chana
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akisoma nakala ya gazeti la Uhuru la leo, kabla ya mazungumzo na viongozi hao
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akimsalimia Mhariri wa Habari wa Uhuru FM Pius Ntiga. Kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuanza mazungumzo yake na viongozi hao. Kulia ni kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma na Kushoto ni Kaimu Mkueugenzi wa Peoples Media Angel Akilimali
Ofisa wa Chama kutoka Makao Makuu ya CCM, Amos Siyantemi akitoa maneno ya utangulizi kabla ya Dk. Pindi Chana kuzungumza na viongozi hao
Kaimu Mkurugenzi wa Peoples Media Angel Akilimali akijitambulisha
Kaimu Meneja Rasilimali watu na Utumishi Paul Mg'ong'o akijitambulisha
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizungumza na viongozi hao.
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizungumza na viongozi hao.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Your Ad Spot
May 25, 2016
Home
Unlabelled
DK. PINDI CHANA AKUTANA NA VIONGOZI WA UHURU PUBLICATIONS LTD NA PEOPLES MEDIA LEO
DK. PINDI CHANA AKUTANA NA VIONGOZI WA UHURU PUBLICATIONS LTD NA PEOPLES MEDIA LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269