Mkurugenzi wa Gazeti la Jambo Leo, Theophil Makunga (kushoto) akimkaribisha Mohamed Omari wakati alipofika katika ofisi hiyo Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mhariri
Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo linalomilikiwa na Kampuni ya Quality
Media Group, Anicetus Mwesa (wa nne kushoto) akimkabidhi zawadi maalumu,
wakala wa magazeti, Mohamed Omari baada ya kufanikiwa kuuza nakala
nyingi zaidi kwa mwezi Aprili. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mohamed Omari wa tatu kushoto na mwenzake Fikirini Shabani wa tatu kulia, wakiliangalia Gazeti la Jambo Leo mara baada ya kuibuka mshindi kwa kuuza kopi nyingi kwa Mwezi wa Aprili 2016 .
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269