Picha ya Mwanahabari Mkongwe, Makongoro Oging' enzi za uwai wake.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers alikokuwa akifanyia kazi
Makongoro Oging', Eric Shigongo akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu Oging' wakati wa kuagwa katika Hospitali
ya Rufaa ya Mkoa wa Ilala ya Amana Dar es Salaam mchana wa leo.
Mmiliki wa Blog ya Michuzi, Issa Michuzi akitoa heshima za kwa mwili wa marehemu.
Mhariri wa Habari wa Gazeti la Champion, Salehe Ali akitoa heshima za mwisho kwa marehemu.
Waombolezaji wakiwa na huzuni wakati wa kuaga mwili wa mpendwa wao Makongoro.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV. Samu Mahela akitoa heshima za mwisho.
Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri wa Habari Tanzania (TEF), Absalom Kibanda akiwa
kwenye shughuli hiyo ya kumuaga Makongoro Oging'
Ndugu yake na Makongoro Oging' akilia wakati wa kumuaga mpendwa wake Makongoro.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa kwenye uagaji wa mpendwa wao.
Uagaji ukiendelea.
Mtoto wa marehemu akimuaga baba yake 'hakika ni huzuni kubwa'
Majane wa marehemu akiwa hajiwezi baada ya kumuaga mume wake.
Mhariri
wa habari wa gazeti la Uwazi alilokuwa akiandia marehemu Oging'
Elvan Stambuli akilia kwa uchungu wakati wa kumuaga Makongoro.
Baba mlezi wa Makongoro Oging ambaye alimsomesha, akizungumza na wanahabari.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Makongoro kulipeleka kwenye gari kabla ya kuanza kwa safari ya kwenda mkoani Mara. |
Jeneza likiingizwa kwenye gari tayari kwa safari.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269