Balozi wa Ujerumani
hapa nchini Ndugu Egon Kochanke akimkabidhi Kitabu kinachohusu masuala
mbalimbali ya Ujerumani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Balozi wa
Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke wakati wa mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa
Ujerumani hapa nchini Ndugu Egon Kochanke mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
Ikulu jijini Dar es Salaam.
. Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Ikulu Balozi wa
Uturuki hapa nchini Yasemin Aralp aliyefika kwa ajili ya kufanya mazungumzo na
Rais Dkt. Magufuli.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Denmark
hapa nchini Eina Hebogrd Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Denmark
hapa nchini Eina Hebogrd mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax Ikulu jijini Dar es Salaam. Dkt.
Stergomena alifika Ikulu kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja
na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Tax pamoja na Maafisa wengine kutoka
Ikulu na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269