Mkuu wa
wilaya ya Handeni wa kwanzakushoto akisoma ramani ya mwaka 2007 akiwa
na viongozi na wananchi ili kujua mpaka upo sehemu gani.DC Gondwe
amefanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa muda mrefu akiwa
ameambatana na Wakurugenzi wa halmashauri zote mbili uliohusisha Kijiji
cha Kweditilibe cha Handeni vijijini na kitongoji cha makinda kilichopo
Handeni Mji.
RAMANI YA
2007 ndiyo iliyotumika kusuluhisha mgogoro huo ambapo aliwaeleza
wananchi kuwa ramani hiyo ndiyo iliyotumika kuweka mipaka ya maeneo
husika Tanzania nzima na hakuna mwenye mamalaka ya kuibadili isipokua
Raisi mwenye mamalaka ya Ardhi ya Tanzania nzima.
Mkuu wa wilaya Mh. Godwin Gondwe akisalimiana na mmoja wa wananchi wa Wilaya ya Handeni kabla ya zoezi la kutatua mgogoro wa mpaka. (P.T)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269