Waziri Mkuu akiwapungia viongozi na
wananchi wa mkoa wa Dodoma alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma
leo Septemba 30, 3016
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakisalimiana na Madiwani wa Manispaa ya
Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Septemba 30, 2016.
Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa na mkewe Mary wakiagana na watuimishi wa Makazi ya Waziri
Mkuu ya Dar es salaam kabla ya kuondoka kuelekea Dodoma Septemba 30, 2016.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokewa na Meya wa Manispaa ya Dodoma Jafar Mwanyemba na viongozi wengine wa mkoa huoWaziri Mkuu, Kasim Majliwa akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye makazi yake mjini Dodoma Septemba 30, 2016.
Meya wa Manispaa ya Dodoma, Jafar Mwanyemba,
(kushoto), akimkabidhi mfano wa funguo, Waziri Mkuu KassimMajaliwa, ikiwa
niishara ya kumkaribisha Dodoma kama mkazi wa Manispaa hiyo, alipowasili kwenye
makazi yake mjini humo Septemba 30, 2016.Waziri Mkuu ametimiza ahadi yake ya kuhamia Dodoma aliyoitoa bungeni ifikapo mwishoni mwa mwezihuu.
Waziri Mkuu akionyesha funguo hiyo yamfano baada ya kukabidhiwa
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wazee wa Dodoma
baada ya kukaribishwa kimira na wazee hao Septemba 30, 2016
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akizawadiwa
kimira na wanawake wa Dodoma ikiwa ni ishara ya kumkaribisha karika
Manispaa hiyo, Septemba 30, 2016
Viongozi wa Manispaa na wananchi wakishangilia ujio wa Waziri Mkuu
|
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269