Mwenyekiti
wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe
Magufuli akimkaribisha mgeni wake, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni,
(mwenye mpama), Ikulu jijini Dar es Salaam usiku huu Septemba 7, 2016.
Rais Museveni yuko nchini kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika
Mashariki unaotarajiwa kufanyika Ikulu Alhamisi Septemba 8, 2016. (PICHA
NA IKULU)
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe
Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo
alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa
mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe
Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni
mgeni wake huyo
alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa
mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269