Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiongoza kikao cha ndani kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula
wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar
es salaam leo Septemba 8, 2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akiwasili kuhudhuria mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam .
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dkt. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa
dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Sudan ya Kusini muda mfupi
kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat
Mfumukeko muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa
wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es
salaam
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mwakilishi wa Burundi Waziri wa Mambo ya
Nje wa Burundi Mhe. Alain Nyamitwe
muda mfupi kabla ya kuanza kwa
mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mjumbi wa Burundi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa
dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akibadilishana mawili matatu na
Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla kabla ya kuanza kwa
mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam Kushoto ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla kabla ya
kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika
ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
Waziri wa Katiba na sheria Dkt Harrison Mwakyembe akiongea na
Dkt Twaha Taslima wa Law Chambers kabla kabla ya kuanza kwa mkutano wa
17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa
Ikulu jijini Dar es salaam leo
Naibu
Rais wa Kenya Mhe William Rutto akiwasili tayari kwa mkutano wa 17 wa
dharula wa wakuu wa Jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam
Rais Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Naibu Rais wa
Kenya Mhe William Rutto akiwasili kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa
dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269