Bwana Harusi Ntibashima Edward ambae ni Mwajiriwa wa Kampuni ya Clouds Media Group inayomiliki Kituo cha Runinga cha Clouds pamoja na Clouds Fm, akiwa na Bi Zitha Kannonyele, mda mfupi kabla ya kuingia kwenye Ibada ya ndoa yao iliyofungwa Katika Kanisa la Morovian lililoko Kimara Stop Over Jijini Dar es Salaam na Kuhudhuriwa na Wageni mbalimbali walioalikwa kushuhudia tukio hilo muhimu kwa wawili hao. |
Bwana Harusi Ntibashima Edward ambae ni Mwajiriwa wa Kampuni ya Clouds Media Group inayomiliki Kituo cha Runinga cha Clouds pamoja na Clouds Fm, akimvisha Pete mke wake Bi Zitha Kannonyele, wakati wa Ibada ya ndoa yao iliyofungwa leo Katika Kanisa la Morovian lililoko Kimara Stop Over Jijini Dar es Salaam na Kuhudhuriwa na Wageni mbalimbali walioalikwa kushuhudia tukio hilo muhimu kwa Wawili hao.
|
Sophia Kessy na James Lyatuu ambao Wafanyakazi wenzake na Bwana Harusi Ntibashima Edward , wakiwa wamepozi mbele ya kamera ya habari360.com, kwa ajili ya kupata picha ya Kumbukumbu.
|
Hapa wakiwa wamepozi na Bi Harusi Zitha Kannonyele kwa ajili ya Kupata Picha ya Kumbukumbu.
|
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269