Afisa
Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Gasto Leseiyo
akitunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu
cha Mount Meru mkoani Arusha.
Mdau Gasto Leseiyo ambaye ni Afisa Habari na Uhusiano wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) akifurahia baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili wa Uongozi wa Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha.
Mdau
Goodluck Kimaro ambaye ni Afisa Rasilimali Watu wa TBL Arusha Plant
akifurahia baada ya kutukiwa Shahada ya Uzamili katika Uongozi wa
Biashara katika Chuo Kikuu cha Mount Meru mkoani Arusha
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison
Olang(kushoto)akizungumza na Mbunge wa Singida Kaskazini ambaye alikua
mgeni rasmi katika mahafali ya 12.
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kulia)akifurahia jambo na familia ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mount Meru,Profesa Harrison Olang
Picha ya pamoja na wahitimu
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini.Lazaro Nyalandu(kushoto)akizungumza na Pastor Earl Pirkle(kulia) na Mkuu wa Chuo cha Mount Meru Profesa Elijah Wanje. (P.T)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269