Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Joyce Mtuma mara baada ya kuwasili
Wizarani mjini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Bw. Amon Mpanju mara baada ya kuwasili
Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akiangalia kadi ya Pongezi iliyoasiniwa na watumishi wa wizara mara
baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisalimiana na Jaji mfawidhi Kanda ya Dodoma Mhe. Mwanaisha Kwariko
alipowasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisalimiana na
watumishi wa Wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisalimiana na watumishi wa Wizara mara baada ya kuwasili
Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba
Kabudi akisikiliza maelezo mbalimbali alipokutana na watendaji wa Wizara na
Mahakama katika ukumbi wa mikutano Wizarani mjini Dodoma
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akisaini kitabu cha wagenu baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akiongea na watumishi
waandamizi wa Wizara mara baada ya kuwasili Wizarani mjini Dodoma. Picha
zote na Sheiba Bulu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269