Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein alipokuwa akikata utepe kuzindua Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha
ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Mgelema jana Aprili 4, 2017, Wilaya ya
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kikazi. Kushoto ni Mkurugenzi
Mwendeshaji wa Shirika la ZSTC Dkt. Said Seif Mzee.(PICHA NA IKULU YA
ZANZIBAR)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akipata
maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Miundombinu
Ndugu, Mustafa Aboud Jumbe alipotembelea ujenzi wa Barabara ya Ole-Kengeja mpaka
Ole Muhogoni Kiziwamaji, akiwa katika ziara ya kikazi katika Mkoa wa Kusini
Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi
wa Kijijini cha Mgelema Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati
wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa
karafuu kijijini hapo akiwa katika ziara ya kikazi
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Bw.Bakari Haji Bakari
akitoa maelezo ya Kitaalam kuhusu ujenzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha
ununuzi wa karafuu katika Kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba, mara baada ya kuzinduliwa
rasmi jana April 04/04/2017 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed
Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Kijijini
cha Ngomeni Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba jana wakati wa sherehe za
Uzinduzi wa Kituo Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu
kijijini akiwa katika ziara ya kikazi
Baadhi ya Mawaziri na Viongozi wengine
waliohudhuria katika uzinduzi wa kituo kipya cha Shirika la ZSTC cha ununuzi
wa karafuu katika Kijiji cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini
Pemba,wakimsikiliza Waziri wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina
Salum Ali alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuzungumza na Wananchi Kijijini hapo jana
akiwa katika ziara ya kikazi.
Waziri wa
Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali alipokuwa
akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein, kuzungumza na Wananchi wa Kijijini cha Ngomeni Wilaya ya Chake
chake Mkoa wa Kusini Pemba leo wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Kituo
Kipya cha Shirika la ZSTC cha Ununuzi wa karafuu
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269