Meneja
Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Mussa Mvita, akimkabidhi Seti
ya Jezi Nahodha wa Timu ya PBZ Ndg Hassan Maulid, kwa ajili ya kuweza
kushiriki vizuri katika michuano ya Kombe la Mei Mosi linalojumuisha
Timu za Wafanyakazi wa Serikali na Mashirika ya Umma yanayotarajiwa
kufanyika wiki ijayo katika Uwanja wa Amaan Zanzibar, wakishuhudia
Viongozi wa Timu ya PBZ, hafla hio ya makabidhiano ya vifaa hivyo vya
michezo yamefanyika katika Ofisi ya Benki hiyo Darajani Zanzibar.
Meneja
Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Mussa Mvita,mwenye kati
akimkabidhi Seti ya Jezi Nahodha wa Timu ya PBZ Ndg Hassan Maulid na
kulia Katibu wa Timu ya PBZ Ali Mwinyijuma.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269