Katibu
Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na
Wazee katika Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama
mkoani Mara wakati wa Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya
Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Sehemu
ya wazee katika Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo
Butiama mkoani Mara wakimsikiliza katibu Msaidzi Tume ya Kurekebisha
Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa.
Katibu
Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akimkabidhi
zawadi ya Sabuni Mkuu wa Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange iliyopo
Butiama mkoani Mara Bw. Edward Mbaga wakati Tume ikifanya Utafiti
mkoani humo. Kushoto ni Mhadhiri Msaidizi Chuo cha Ustawi wa Jamii Bw.
Paulo Mwangosi
Katibu
Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na
Wazee wa Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani
Mara wakati wa Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya
Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Sehemu ya Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara.
Katibu
Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Agnes Mgeyekwa
akisisitiza jambo wakati akizungumza na uongozi wa kituo cha kulelea
watoto cha Jipe Moyo kilichopo Musoma mkoani Mara. Katikati ni mratibu
wa kituo hicho sister Annunciata Chacha
Katibu
Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akimkabidhi
zawadi ya Sabuni na Juisi Mratibu wa Kituo cha Kulelea Watoto cha Jipe
Moyo Sister Annunciata Chacha wakati Tume ikifanya Utafiti wa Mfumo wa
Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Katibu
Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bi Agnes Mgeyekwa (wa tatu
kushoto) na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na watoto
wanaolelewa katika Kituo cha Jipe Moyo kilichopo Musoma mkoani Mara
wakati Tume ikiendesha Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi
wa Jamii Tanzania. Kushoto ni Mratibu wa Kituo hicho Sister Annunciata
Chacha.
Katibu
Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi Agnes Mgeyekwa
akisalimiana na mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Jipe Moyo
kilichopo Musoma mkoani Mara wakati Tume ikifanya Utafiti wa Mfumo wa
Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269