Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi
Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi wanaoishi kambi
ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma. Katika ziara hiyo
iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa
Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua
zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Marco
Gaguti, akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi wanaoishi kambi ya
Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma. Katika ziara hiyo iliyokuwa
pia na ujumbe kutoka Serikali ya Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani
na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la
urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi ya
Nyarugusu, wilayani Kasulu, mkoani Kigoma wakimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo
ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) katika mkutano na
wakimbizi hao, Katika ziara hiyo iliyokuwa pia na ujumbe kutoka Serikali ya
Burundi, ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal
Barandagiye, lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao
linavyoendelea
Mkimbizi wa Burundi anayeishi kambi ya Nyarugusu,
iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma Paul Ndalaizye., akitoa maoni kwa niaba
ya wakimbizi wanaoishi katika kambi hiyo wakati wa Mkutano uliohutubiwa na
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa
Mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo, Pascal Barandagiye (hawapo pichani),
lengo ikiwa kukagua zoezi la urejeshaji wakimbizi hao makwao linavyoendelea.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi
Hamad Masauni, akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kanali Marco Gaguti
(kushoto), baada ya kuwasili Wilayani Kasulu,mkoani
Kigoma kwa ziara ya kikazi.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Mambo ya Ndani
na Mafunzo ya Uzalendo nchini Burundi, Pascal Barandagiye (kulia), wakipiga
ngoma baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi Nyarugusu, iliyoko Wilayani
Kasulu,mkoani Kigoma.(PICHA NA WIZARA YA
MAMBO YA NDANI YA NCHI)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269