Mkuu wa Kitengo cha Biashara Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa,Thomas William akizungumza na kipindi cha Hello Tanzania cha Uhuru FM,kuhusu zoezi la uandikishaji wananchi kwaajili ya vitambulisho vya Taifa katika Mikoa ya Manyara na Singida.
Ndugu Thomas atazungumzia zoezi hilo linavyoendelea katika mikoa mingine siku ya jumatatu tarehe 20-11-2017 katika kipindi Hello Tanzania cha Uhuru FM saa 02:00 kamili Asubuhi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269