Breaking News

Your Ad Spot

Jan 14, 2010

ATINGA KIZIMBANI KWA KUJIFANYA DOKTA WA MUHIMBILI NA KUMWAGA VITUKO MAHAKAMANI


MSHIKAJI Charles David Shaulitanga akificha sura wakati akipelekwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya ya Ilala, Kariakoo mjini Dar es Salaam, jana, kujibu shitaka la kujifanya daktari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.jitihada zaidi za kujificha ili wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari wasimtambue mshitakiwa huyo alitoka katika chumba cha mahabusu cha mahakama hiyo akiwa amebadilishana nguo zake na mahabusu mwingine ambapo alitoka akiwa amevaa kanzu na kofia badala ya nguo zake za awali wakati akipelekwa rumande.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages