Breaking News

Your Ad Spot

Jan 14, 2010

MAHAKAMA YA KISUTU MOTO LEO; KIJANA WA MIAKA 26 ATWANGWA MVUA 30, MINTANGA NAYE ATINGA TENA


RASHID Lembrisi (kuli) akisubiri kwenda kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, baada ya Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kumhukumu kifungo hucho jana, kwa kupatikana na hatia ya kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha na kuibia benki ya NBC, tawi la Ubungo katika kesi ambayo wenzake tisa mahakama hiyo iliwaachia huru.



MAMA wa Rashid Lembrisi (kushoto) akisasidiwa kuto katika chumba cha mahakama kutokana na kuishiwa nguvu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kumhukumu mtoto wake huyo kifungo cha miaka 30 jela kwa kutiwa hatiani kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha na kuibia benki ya NBC, tawi la Ubungo, mwaka 2006. Katika kesi hiyo wenzake tisa waliachwa huru.

ALIYEKUWA Rais wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), Alhaji Shaaban Mintanga, akiwakatika Mahakama ya hakim Mkazi, Dar es Salaam, jana.Mintanga anakabiliwa na mashitaka ya kula njana na kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya sh. milioni 120.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages