.

WANAOWANIA UONGOZI SIMBA WASAILIWA LEO

Apr 19, 2010

NIMESHASAILIWA! inaelekea ndivyo Mwenyekiti wa Klab ya Simba aliyemaliza muda wake,  Hassan Dalali, alivyokuwa akimweleza mtu aliyekuwa akizungumza naye kwa simu baada ya kutoka chumba cha usaili kwa wanaowania kugombea uongozi wa hiyo leo kwenye ukumbi wa Ofisi za TFF, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.. Dalali akibadilishana mawazo na walionekana kama wapambe wake, baada ya kutoka katikachumba cha usaili.Wagombea wengine kina Michael Wambura (kulia) (na Daniel  Manemba wakibadilishana mawazo na wadau baada ya kutoka chumba cha usaili Aden Rage (kulia) akiwa na wagombea wengine wa nafasi mbalimbali walipokuwa wanasubiri kufanyiwa usaili leo.BAADHI ya waandishi wa habari za michezo wakiwa wamepigaa kambi kusubiri ambayo yanaweza kujiri wakati wa usaili huo.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª