Breaking News

Your Ad Spot

Jun 8, 2014

CHRIS BROWN AKARIBISHWA URAIANI NA BONGE LA PATI

CBIkiwa ni siku tatu kupita tangu mwanamuziki Chris Brown atoke jela, mkali huyo wa R&B ameangusha sherehe ya kusherekea uhuru wake katika pati  maalum iliyofanyika alhamisi mchana katika mjengo wake uliopo mjini Los Angels nchini Marekani na kuhudhuriwa na watu wake wa karibu.
Katika sherehe hiyo kulikuwa pia na sapraizi ya aina yake kutoka kwa mpenzi wake mwanamitindo Karrrueche Tran aliyemfumba macho kwa kutumia kitambaa chekundu na kumpeleka mpaka eneo walilokuwepo wageni waalikwa ambao Brown hakutegemea kama wangeweza kutokea akiwemo mwanafamilia wa Young Money, Rapa Tyga, T-Pain, Big Sean, Jas Prince Jr, Amber Ross pamoja na C.E.O wa lebo ya Konvict Akon…Jionee mwenyewe picha na video hapo chini …
Chris & Karrueche TranMpenzi mtarajiwa Chris Brown, mwanamitindo  ‘Karrueche Tran’ akimuongoza Chris eneo la tukio
Chris BrownBaada ya  Chris kufikishwa sehemu ya wageni waalikwa
Amber Ross  Mwanamitindo Amber Ross akiwasili mjengoniChris Brown na T-Pain
Chris Brown na T-Pain
Chris Brown na masela
Chris Brown na TygaJas Prince Jr, Chris Brown na Tyga
Sio mchezoBig sean nae pia alikuwepo
Chris Brown na KarruecheMwaka huu kama Chris asipomuoa huyu mwanadada, basi atakuwa anatafuta laana
Chris Brown na WashkajiChris na washikaji

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages