Bw.
Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akitoa mada wakati
wa semina kwa waandishi wa habari inayohusu Chapisho la Tatu la taarifa
za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo kwenye
hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam ikihusisha waandishi wa habari
kutoka vyombo mbalimbali va habari, Jarida hilo lilizinduliwa jana na
Rais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete kwenye ukumbi
wa Mwalimu J. K. Nyerere International Conference jijini Dar es salaam
Bw.
Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akisisitiza jambo
kwa waandishi wa habari wakati wa semina inayohusu Chapisho la Tatu la
taarifa za msingi za Kdemografia, Kijamii na Kiuchumi inayofanyika leo
kwenye hoteli ya Peacock jijini Dar es salaam
Veronica
Kazimoto Afisa uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi akielezea
umuhimu wa Mahusiano katika ya waandishi wa habari na NBS
katikamkuwaelimisha wananchi juu ya masuala ya Sensa ya wat na makazi.
Veronica
Kazimoto Afisa uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi akielekeza jambo
katika semina hiyo juu ya umuhimu wa Mahusiano katika ya waandishi wa
habari na NBS katikamkuwaelimisha wananchi juu ya masuala ya Sensa ya
wat na makazi.
Waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa na wataalamu katika semina hiyo.
Bw.
Irenius Ruyobya Mratibu wa Sensa ya watu na makazi akiwa katika semina
hiyo pamoja na maafisa wengine wa Sensa ya watu na makazi
Mwandishi wa TBC Elisha Elia akizungumza na Mwandishi Mwanafunzi wa TBC Bi Laura Pylvanainen wakati wa semina hiyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269