Breaking News

Your Ad Spot

Jun 17, 2014

PPF YATIA FORA KWA HUDUMA KWENYE MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MNAZI MMOJA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Utawala Bora), George Mkuchika, akisalimiana na Meneja Kumbukumbu wa Mfuko wa Pesnheni wa PPF, Gladness Mteta, alipotembelea banda la PPF, kwenye maonyesho ya wiki ya Utumishi yaliyoanza jana kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), George Mkuchika, akimsikiliza Meneja Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Gladness Mteta (Wakwanza kushoto), alipotembelea bandfa la Mfuko huo kwenye ufunguzi wa Wiki ya Utumishi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam Jumatatu Juni 16, 2014
Maafisa wa PPF wakihudumia wateja kwenye maonyesho ya wiki ya utumishi kwebnye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Maafisa wa Mfuko wa Pesnheni wa PPF, wakiongozwa na Meneja wa Kumbukumbu, Gladness Mteta (Wapili kushoto), Sereki Michael (Wakwanza kushoto), Paulina Msanga na Nelusigwa Mwalugaja, wakisubiri kuhudumia wateja kwenye banda lao wakati wa ufunguzi wa wiki ya Utumishi kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2014

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages