Naibu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi Mh. George Simbachawene
akiwa na wajumbe wa Bodi ya NHC na Watendaji wa NHC walipotembelea mji
wa Bunggol wenye nyumba za wananchi (social housing estates) nchini
Singapore kama sehemu ya ziara ya mafunzo.(Picha na Muungano Saguya-NHC)
Ujumbe
wa Tanzania ukielezwa namna mji wa Singapore ulivyopangwa kulingana na
matumizi mbalimbali ulipotembelea Mamlaka ya Uendelezaji Miji ya
Singapore(URA) jana. Ujumbe
wa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ukiwa katika
Bodi ya Uendelezaji wa nyumba ya Singapore ambayo harakati za Bodi hiyo
zimewezesha asilimia 86 ya watu wa nchi hiyo kupata nyumba za kuishi.
Nchi ya Singapore ina watu milioni 5.4 Ujumbe
wa Naibu Waziri ukiwa katika kampuni inayosambaza na kusimamia usalama
wa maji katika nchi ya Singapore na maeneo mbalimbali Tanzania ya Hyflux
Innovation Centre ambayo pia imeonyesha nia ya kushirikiana na Tanzania
kusambaza maji katika maeneo inayojenga nyumba za wananchi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269