Breaking News

Your Ad Spot

Aug 22, 2014

KOTES YAONGEZA KASI ILI KUMALIZA KWA WAKATI KAZI YA UTANDAZAJI NYAYA ZA MKONGO WA MAWASILINO VYENYE VITUO VYA POLISI

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Kotes (T) Limited Max Komba (mwenye suti) akikagua kazi ya uchimbaji mitaro kwa ajili ya kulaza nyaya za mkongo wa mawasiliano kwenda Kituo cha Polisi cha Tegeta, Dar es Salaam, jana. Kampuni hiyo imepewa kazi ya kutandaza nyanya hizo pia kwenye vituo 16 vya jeshi hilo na katika vituo vinane vya jijini Dar es Salaam, kazi hiyo imekwishakamilika.
Mfanyakazi wa kampuni hiyo ya Kotes akiwa kazini kwenye eneo hilo la Tegeta
Kazi ikiendelea
Komba akiwapa maelekezo wafanyakazi wa kampuni yake, kuhakikisha kazi ya utandazaji wa mkongo huo wa mawasilino inamalizika kwa wakati

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages