Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo
kwa Wanasayansi wachanga kutoka shule mbalimbali za Sekondari za Tanzania,
iliyofanyika Agosti 13, 2014 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar
es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Ilongero, John Andrea (wa pili kulia) na Thobias Clement, wakati
wakimuelezea jinsi walivyoweza kufanya utafiti
na kugundua matumizi ya Kinyesi cha wanyama kuzalisha Umeme, wakati
Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonesho ya Wanasayansi
wachanga, yaliyofanyika Agosti 13, 2014 sambamba na utoaji tuzo za
washindi wa maonesho hayo, katika ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa wanafunzi wa Shule ya
Sekondari ya Lumumba ya mjini Zanzibar, Dhariha Amour (kulia) na Salma Khalfan
(wa pili kulia) wakati wakimuelezea jinsi walivyoweza kufanya utafiti wa kutumia Karafuu na Limao kutengeneza dawa
ya kufukuza Inzi , wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya
maonesho ya Wanasayansi wachanga, yaliyofanyika Agosti 13, 2014 sambamba
na utoaji tuzo za washindi wa maonesho hayo, katika ukumbi wa Diamond Jubilee,
jijini Dar es Salaam. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiwakabidhi Tuzo washindi wa jumla wanafunzi wa Shule
ya Sekondari ya Lumumba ya mjini Zanzibar, Dhariha Amour (wa pili kushoto) na Salma
Khalfan (wa tatu kulia) baada ya kutangazwa kuwa washindi wa jumla katika maonesho ya
Wanasayansi wachanga kwa kufanya utafiti wa kutumia Karafuu na Limao kutengeneza dawa
ya kufukuza Inzi , wakati wa halfa ya
utoaji Tuzo hizo wa wanasayansi wachanga iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond
Jubilee jijini Dar es Salaam Agosti 13, 2014. Picha na OMR

Your Ad Spot
Aug 14, 2014
Home
Unlabelled
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI UTOAJI TUZO WA WANASAYANSI WACHANGA WA TANZANIA
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI UTOAJI TUZO WA WANASAYANSI WACHANGA WA TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269