Mkuu wa
Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu akimpatia mmoja wa walemavu wa
ngozi kadi za afya zitakazowawezesha kupata matibabu bure wao pamoja na
wategemezi wao katika vituo vya huduma za afya za serikali na zile
binafsi vilivyosajiliwa na mfuko wa afya ya jamii (CHF).
Mkuu wa
Wilaya ya Missenyi Mh. Fadhil Nkurlu (wa nne kutoka kulia walioketi)
akiwa katika picha ya pamoja na walemavu wa ngozi pamoja na viongozi wa
dini na serikali za mitaa wilayani Missenyi
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269