Mwalimu
mstaafu wa Sekondari na Mjumbe mwelimishaji wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Mwenyekiti wa Wzazi Tua Moyo Ali Ahmad kwa jina maarufu mpemba
wa Asili, akisoma shairi wakati wa Mkutano wa Hadhara ambapo Mgeni Rasmi
ni Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile (PICHA ZOTE NA
KHAMISI MUSSA)
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akisalimia wananchi wakati wa Mkutano wa hadhara ulio fanyika Dar es Salam
Dk. Faustine Ndugulile akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi Kata ya kigamboni na Katibu Kata wa chama hicho kabla ya
kuanza Mkutano huo
Wananchi na wanachama wa Chama cha Mapindizi (CCM) wakishangilia wakati
Mbunge wao alipokuwa akipanda jukwaani katika uwanja wa Tuwa Moyo
Kigamboni
Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akipanda jukwaani
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Kata ya kigamboni na Katibu Kata wa
chama hicho akiongea na wananchi wakati wa mkutano wa Mbunge wa Jimbo la
Kigambo ni Faustine Ndugulile
Mwenyekiti Rerikali ya Mtaa wa Tua moyo akifungua Mkutano huo
wananchi wakifurahia jambo wakati wa mbunge wao Dk. Faustine Ndugulile alipokuwa akizungumza na wananchi hao
Dk. Faustine Ndugulile akizungumza na wanachi wakati wa mkutano huo na
akiwaomba wananchi kujitokeza kwa wingi katika Daftari la Wapigakura
wakati ukifika
Wananchi na wanachama wakiwa katika umakini mkubwa katika kumsikia Mbunge wao
Wanachama
Wanachama wakimsikiliza Mbunge wao wakati wa Mkutano huo
Mzee
Muhamedi Selemani mwenye miaka 95,ambaye ni mlemavu wa macho akitoa
malalamiko yake kwa mbunge, wakati wa mkutano huo, anapokonywa mashamba
yake na mwekezaji na akiomba asaidiwe
Mamia ya wananchi na wanachama wajitokeza katika mkutano huo
Mbunge
wa Jimbo la Kigamboni Dk. Faustine Ndugulile akizungunza na Mamia
waliojitokeza katika mkutano wa hadhara ulio fanyika Kigamboni Dar es
Salaam jana
Wanachi
wakiwa katika mkutano huo wakifatilia maongezi ya Mbunge wao Dk.
Faustine Ndugulile, wakati wa mkutano wa hadhara ulio fanyika Dar es
Sallam jana
Mwanajeshi Mstaafu wa (TPDF) Said Ngoya akitowa pongezi kwa mbunge
Dk. Faustine Ndugulile akisoma majina ya vikundi ambavyo jumla kumi na mbili
Dk. Faustine Ndugulile akitimiza ahadi yake kwa vikundi kumi na mbili vya ujasiliamali ambavyo kila kimmoja kimepata pesa taslim
Dk.
Faustine Ndugulile akizawadiwa sare ya kitenge na muweka hazina wa
kikundi cha Jitegemee Vikoba Group Happiness mfinanga wakati walipokuwa
wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge huyo wakati wa
mkutano huo (kulia) ni Mwenyekiti Tungi Kata ya Kigamboni Joram Msuya
Dk.
Faustine Ndugulile akisalimiana na Mkuu wa Kituo cha Kigamboni Jumanne
Njoka baada ya mkutano kumalizika, amaba mkuu huyo wakituo alifika na
wasaidizi wake kutowa ushirikiano wa usalama wakati wa mkutano wa Mbunge
Ndugulile alipokuwa akizungumza na wananchi dar es Salaam jana
Wanachi wengi walijitokeza kumsikiliza mbunge waoa
Dk. Faustine Ndugulile akipongezwa na wanakikundi cha Jitegemee Vikoba Group
wakati walipokuwa wakipewa mchango wao wapesa Taslimu kutoka kwa Mbunge
huyo wakati wa mkutano huo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269