Breaking News

Your Ad Spot

May 8, 2015

MWAKILISHI MKAZI WA UNDP ATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy akimkabidhi kitabu kinachozungumzia Hifadhi za Taifa zilizopo nchini Tanzania Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchni, Bwa. Alvaro Rodriguez alipomtembelea ofisini kwake
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy akimwelezea Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchni, Bwa. Alvaro Rodriguez juu ya Kahawa inayozalishwa Tanzania na Kampuni ya Panone (Panone Fresh Coffee)
Balozi Mushy akimkabidhi Bwa. Rodrigues Kahawa iliyofungwa vizuri na kampuni ya Panone.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages