Breaking News

Your Ad Spot

May 6, 2015

WAFGHAN 4 KUNYONGWA KWA MUUA MWANAMKE

 Waandamanaji wakipinga mauaji ya Farkhunda
Jaji wa Mahakama ya Afghan amewahukumu wanaume wanne
adhabu ya kifo kwa muua kwa kumshambulia mwanamke mmoja mjini Kabul zaidi mwezi
mmoja uliopita.

Mwanamke huyo anayeitwa Farkhunda alipigwa hadi kufa na
kundi la watu wenye hasira baada ya kutuhumiwa kimakosa kuchoma kitabu cha
Koran.

Mwili wake ulichomwa mwoto. Watu wengine 49 wanaendelea
na kesi, wakiwemo polisi 19 wanaotuhumiwa kwa kushindwa kuingilia kati kumwokoa
mwanamke huyo.



Mauaji hayo yalisababisha hasira kutoka maeneo mbali
mbali duniani ambayo pia yalisababisha maandamano nchini Afghanistan kupinga
jinsi mwanamke huyo alivyotendewa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages