Breaking News

Your Ad Spot

Sep 3, 2015

MKUU WA WILAYA YA NJOMBE SARA DUMBA MGENI RASMI WIKI YA MAADHIMISHO YA NENDA KWA USALAMA MKOA WA NJOMBE

Mratibu Polisi Jamii Mkoa wa Njombe Rashid (kushoto ) Mlonga, akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mkoa, Sara Dumba (kulia), ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa DK. Rehema Nchimbi  wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Nenda Kwa Usalama Mkoa wa Njombe na Viakisi Mwanga kutokana na Sheria Mpya ya Usalama Barabarani, kuanzia Gari Tani 3 na Nusu na Magari ya Abiria yote ya Abiria yatawekewa viakisi Mwanga, ambapo yalizinduliwa Agosti 27 2015 na kilele limefanyika Septemba 2, mwaka huu katika maeneo ya Uwanja wa Shule ya Msingi Bakita Roma Katoliki.    (PICHA ZOTE  NA KHAMISI MUSSA).



Baadhi ya wanafunzi wakiwa na mabango
 Maadhimisho hayo yaliendana na mafunzo ya uokoaji wa watu na mali zao pindi itokeapo ajali ya moto katika magari ambapo  Askari wa Kikosi cha Uokoaji akitoa mfano kwenye maadhimisho hayo
Mkuu wa Wilaya ya Njombe, Sara Dumba (wa pili kushoto), akiwa kwenye Maadhimisho hayo yaliendana na mafunzo ya uokoaji wa watu na mali zao pindi itokeapo ajali ya moto katika magari ambapo  Askari wa Kikosi cha Uokoaji akitoa mfano kwenye maadhimisho hayo

 Mkuu wa Wilaya Sara Dumba akikata utepe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Dk. Rehema Nchimbi wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Nenda Kwa Usalama Mkoa wa Njombe na Viakisi Mwanga kutokana na Sheria Mpya ya Usalama Barabarani, kuanzia Gari Tani 3 na Nusu na Magari ya Abiria yote ya Abiria yatawekewa viakisi Mwanga, ambapo yalizinduliwa Agosti 27 2015 na kilele limefanyika Septemba 2, mwaka huu katika maeneo ya Uwanja wa Shule ya Msingi Bakita Roma Katoliki. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages