Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimpa pole
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa na kaka yake, Mzee Selemani
Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo
mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016. (Picha zote na Ikulu)
Rais mstaafu Kikwete, akiweka mchanga kwenye kaburi wakagti wa mazishi ya kaka yake huko Msoga leo Machi 5, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimkabidhi
hela ya utani kwa mkaazi wa Chalinze ambaye ni Musukumu Bwana Luhende baada ya
kuipokea toka kwa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakati wa mazishi ya
Baba yake Mkubwa Mzee Selemani Mrisho Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze,
wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016 wanaoshuhudia ni Rais wa
Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Rais wastaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mhe.
Benjamin Mkapa, Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John
Malecela. Katika utamaduni wa Kitanzania Wakwere na
Wasukuma
ni watani.
Mama
Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Joseph Magufuli akimpa pole Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kwa kufiwa
na kaka yake, Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga,
Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimfariji
Mjane wa Marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini
Msoga, Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016
Makamu wa
Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na Mama Salma
Kikwete wakiwa msibani kwa kaka yake Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,
MarehemuMzee Selemani Mrisho Kikwete, wakati wa mazishi kijijini Msoga,
Chalinze, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016. Wengine kutoka
kushoto ni Mama Asha Bilali, Mama Khadija Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Mama Asha
Seif Ali Iddi,
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea hela
ya utani toka kwa Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete wakati wa mazishi ya
Baba yake Mkubwa Mzee Selemani Mrisho Kikwete, kijijini Msoga, Chalinze,
wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani leo Machi 5, 2016 wanaoshuhudia ni Rais wa
Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Rais wastaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mhe.
Benjamin Mkapa, Alhaj Ally Hassan Mwinyi na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe John
Malecela. Katika utamaduni wa Kitanzania Wakwere na Wasukuma ni watani.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269