Breaking News

Your Ad Spot

Jul 21, 2016

JK AKAGUA HALI YA UKUMBI UTAKAOTUMIKA WAKATI WA MKUTANO MKUU MAALUM WA CCM MJINI DODOMA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakata Kikwete alipowasili leo kukagua hali ya ukumbi wa mikutano wa Dodoma Convetion, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano mkuu maalum wa CCM utakaofanyika Julai 23, 2016. Kwa lengo la kumkabidhi kijiti cha Uenyekiti wa CCM, Rais wa awamu ya Tano Rais Dk. John Magufuli. 
 Mwenyekiti wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete akiingia kwenye ukumbi wa Ddoma Convetion, alipofika kukagua ukumbi huo leo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, utakaofanyika Julai 23, 2016. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rajab Luhwavi na watatu ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete akijaribu vinasa sauti alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa  CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa  CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa  CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo
Mwenyekiti wa  CCM Dk. Jakaya Kikwete akitoa maelekezo alipokagua ukumbi huo. PICHA KEM KEM ZA TUKIO HILI>> BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages