.

RAIS DK. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA HUAWEI

Jul 21, 2016Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Huawei Bw. Bruce Zhang wakati alipofika Ikulu na ujumbe wake Julai 20, 2016 kwa mazungumzo. (PICHA NA IKULU)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช