.

MPAMBANO WA ISHA MASHAUZI NA MALKIA LEYLA DAR LIVE ULIVYONOGA

Oct 24, 2016


dar-live11
Leyla akimtuza Isha Mashauzi baada ya kunogewa na namna alivyokuwa akipagawisha mashabiki, wakati wa mpanbano wo uliofanyika DarLive Mbagala Dar es Salaam na kuzoa mashabiki lukuki wa burudani ya taarab
dar-live12
Uhasama wao ulikuwa ni jukwaani tu, kwani baada ya kushuka jukwaani wote walikuwa kitu kimoja.
HABARI NA PICHA ZAIDI/>>BOFYA HAPA


0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช