.

MWIMBAJI MAARUFU WA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA AFUNGA PINGU ZA MAISHA

Dec 26, 2016

Bwana harusi Mathew Akrama Rwekila na Bibi harusi Agnes Martine ambaye ni mwimbaji kwaya maarufu, wakila kiapo cha ndoa walipokuwa wakifunga ndoa, jana, Desemba 25, 2016 katika Kanisa la EAGT, Lumala Mpya Jijini Mwanza. Picha zaidi/>BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช