Breaking News

Your Ad Spot

Sep 13, 2017

SEND OFF YA MKE MTARAJIWA WA CUTHBERT MIDALA, DADA CATHERINE ILIVYOFANA DAR ES SALAAM, JANA

Mke Mtarajiwa wa Ofisa wa Makao Makuu ya CCM, Cuthert Midala, Bi Catherine Nyamoni akiwa mwenye tabasamu la uhakika, wakati wa Send Off yake, iliyofanyika jana jioni, katika ukumbi mwanana wa Danken House, Mikocheni jijini Dar es Salaam, Zifuatazo ni picha zaidi ya 200 zikisawiri tukio lote mwanzo hadi mwisho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages