Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa
awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 27, 2016.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya
Kikwete wakifurahia jambo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini
Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269