Rais
wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati akikagua baadhi ya
mitambo na magari mbalimbali katika maonesho ya vifaa hivyo
vinavyotumika
katika sekta ya ujenzi, sambamba na kufungua mkutano wa mashauriano wa
bodi ya usajili wa makandarasi nchini, CRB kwenye ukumbi wa mikutano wa
Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam, Mei 26, 2016. (Picha zote na
Ikulu)
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wakandarasi,
Wahandisi na wadau mbalimbali wa sekta ya Ujenzi kabla ya kufungua rasmi
Mkutano wa Siku mbili wa Mashauriano wa
Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini CRB uliofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipewa maelezo kuhusu katapila
linalotumika katika kazi mbalimbali za ujenzi mara baada ya kufungua mkutano wa
siku mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati akikagua baadhi ya
mitambo na magari mbalimbali katika maonesho ya vifaa hivyo vinavyotumika
katika sekta ya ujenzi.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wakati akikagua baadhi ya
mitambo na magari mbalimbali katika maonesho ya vifaa hivyo vinavyotumika
katika sekta ya ujenzi.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Wakandarasi,
Wahandisi na wadau mbalimbali wa sekta ya Ujenzi kabla ya kufungua rasmi
Mkutano wa Siku mbili wa Mashauriano wa
Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini CRB uliofanyika katika ukumbi wa mikutano
wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vifaa vya ujenzi
katika moja ya mabanda mara baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa
Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi jijini Dar es
Wadau mbalimbali
wa Sekta ya Ujenzi wakiwemo Wahandisi na Wakandarasi wakipiga makofi wakati wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa
akiwahutubia katika mkutano huo wa Mashauriano wa CRB jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa
Mikutano wa Diamond Jubilee kwa ajili ya Ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Siku
mbili wa Mashauriano wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi nchini CRB.
KIUKWELI RAIS YUKO OK SANA KWANI ANAHAJA YA KWELI YA KUWATUMIKIA WANANCHI HATA KUTHUBUTU KUTAMKA AMEYATOA MAISHA YAKE ILI WATANZNIA TUPONE JAMANI WATANZANIA TUMLINDE KWA MAOMBI HUYU ANATUFAA KWANI NCHI HII ILIKUWA IMEOZA KILA WAKATI HUWA NAPENDA KUMSIKILIZA TUUNGANE PAMOJA NAE KWANI ATATUKOMBOA
ReplyDelete