Breaking News

Your Ad Spot

Jan 15, 2010

CUF YAMEGWA: ALIYEKUWA MWENYEKITI WAKE MUHEZA ATIMKIA CCM



Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Jamal MsellemKatibu Mkuu wa CCM Yussuf Makamba akizungumza katika tukio hilo la kumpokea aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF Muheza Jamal Msellem


Waandishi wa habari walioalikwa wakifuatilia tukio hilo la Jamal kurejea CCM leo, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Yussuf Makamba akipata akishauriwa jambo na mmoja wa washauri katika ofisi yake Thobias Mwilapwa katika hafla hiyo.

Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF wilaya Muheza mkoani Tanga, Jamal Msellem akikabidhi kadi yake ya CUF kwa Katibu Mkuu wa CCm Yussuf  Makamba baada ya kutangaza kujiunga na CCM katika Ofisi Ndogo ya makao Makuu ya CCM mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam.


Makamba akimpatia vitendea kazi  Jamal









Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages