Breaking News

Your Ad Spot

Jan 15, 2010

UJANA MAJI YA MOTO


upakianaji wa aina hii katika baiskeli uliofanywa na vijana hawa, unadhihirisha ni jinsi gani vijana wanaweza kufanya ubunifu katika mambo mbalimbali. Picha hii ilipigwa na mdau mkuu Chachandu-daily, alipokuwa katika viunga vya kijiji cha Micheweni, Kaskazini Pemba hivi majuzi.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages