Breaking News

Your Ad Spot

Jan 16, 2010

FUNGUA DIMBA RAUNDI YA PILI LIGI KUU YA VODA, LYON YALAMBWA 2-0 NA YANGA



Tangazo la mdau wa Chachandu Daily ambaye ni mmiliki wa timu ya African Lyon

MSHAMBULIAJI wa Yanga Nadir Haroub 'Kanavaro'(kulia) akipambana na Zubeir Ubwa wa African Lyon, timu hizo zilipomenyana kwenye Uwnaja wa Uhuru, Dar es Salaam, jana, katika mechi ya fungua dimba ya Ligi Kuu ya Vodacom.


Mbunge wa Biharamulo.Mh. Mukasa naye alihudhuria mechi hiyo, akiwa na Ofisa katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM Saidi Mtanda aka Saidi mkuu wa Lumumba (kwenye baraghashia)


Licha ya uhondo wa mpambano huo, washamba waliokuwepo miongoni mwamashabiki walijidhihirisha kwa kutupa uwanjani chupa zenye mikojo yao!

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages