Breaking News

Your Ad Spot

Jan 17, 2010

Warsha ya kujenga mikakati ya kuongeza idadi ya wagombea wanawake katika uchaguzi mkuu mwaka huu, Dar





Royal Mirage ni miongoni mwa hoteli mpya za kipekee jijini Dar er es Salaam, inayoongoza kwa uaina wake, utulivu na usalama kwa wageni. haipo mbali, ipo mtaa wa Livingstone/Amani  Kariakoo.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Naibu Spika , Anna Makinda akiendesha mjadala katika Warsha kuhusu mikakati ya kuongeza idadi ya wagombea wanawake katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu wa 2010, jana katika ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl, Ubungo Plaza, Dar es Salaaaam. Kuhsoto ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia wa Watoto, Margareth Sitta.
MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Anna Abdallah akijadili jambo na Mkurugenzi wa Chama Cha Wandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Ananelea Nkya, wakati wa mapumziko wa warsha hiyoleo.

  MJUMBE wa NEC-Organaizesheni ya CCM, Kidawa Himidi Salehe (kushoto) akishiriki warsha hiyo pamoja na wajumbe mbalimbali.

Anna Makinda akikumbatiana na Naibu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Jacqueline Liana ambaye ni miongoni mwa waalikwa waliohudhuria warsha hisyo.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Wabunge wanawake Tanzania,  Naibu Spika, Anna Makinda akisalimiana na Naibu Mhariri Mtendaji wa UPL, Jacqueline Liana naada ya warsha hiyo leo.

Anna Makinda akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Husma Mwilima baada ya warsha hiyo.

 Katibu Mkuu wa UWT,Husna Mwilima na Waziri na Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,  Margareth Sitta wakifurahi wakati wakiondoka ukumbini baada ya warsha hiyo. Waziri huyo nduye alifunga warsha.




No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages