Breaking News

Your Ad Spot

Jan 18, 2010

OMBENI MSUYA AZINDUA KITABU CHA UJASIRIAMALI


Kitabu kipya cha HIZI NDIZO AJIRA "Faraja ya Wajasiriamali"

WAZIRI wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana,Prof. Juma Kapuya akizindua kitabu cha 'HIZI NDIZO AJIRA' katika ukumbi wa jengo la ILO mjini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Wapili kulia ni mtunzi wa kitabu hicho Ombeni W. Msuya. Na wanaoshuhudia, Kulia ni Mkurugenzi wa ILO Alexio Msindo na kuhsoto ni Meya wa Jiji la Dar  Adamu Kimbissa.

Prof. Kapuya na Ombeni Msuya wakiwa na nakala za vitabu hizo baada ya uzinduzi. Mchap[ishaji wa kitabu hicho Kaka Msuya kupata zaidi bofya owmsuya@hotmail.com au tanecotodeso@yahoo.com


MMOJA wa wadau walioalikwa kwenye uzinduzi wa kitabu hichoMkuregenzi Mtendaji wa Kampuni ya Power House Poroductions ya Mikocheni, Dar es Salaam, Anne N. Iddrissu, akikisoma kwamakini kitabu hicho kuona yaliyomo. Kumpata Anne bofya: aiddrissu@hotmail.com au powerhousetz@yahoo.com




No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages