Mwenyekiti
wa kamati ya kituo cha afya Mlandizi, bw Makamba Mwaluka (watatu
kushoto), akiwakaribisha wageni kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
baada ya kufanya ziara katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha
Afya Wilayani Mlandizi. Juni 12,2014 na kukabidhi mashuka kwenye kituo
hicho (kulia kwake), Muendeshaji
shughuli mama Gaudensia Ndegea (katikati kulia), Kaimu Mkurugenzi wa
Halmashauri ya wilaya ya Kibaha, Michael John, na Mjumbe wa bodi NHIF,
bwana Charlse Kajege.
Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti wa NHIF, Raphael Mwamoto (kulia), akiwakaribisha
wageni aliyoambatana nao kutoka katika mfuko huo(wakwanza kulia), Mjumbe wa bodi NHIF, Charlse Kajege, Mjumbe wa bodi wa NHIF Dr. Hashim Mohamed, Diwani wa Mlandizi mama Ndessi, Mkurugenzi wa Matibabu na Huduma za kiufundi Dr. Frank Lekey
Mjumbe wa bodi wa NHIF Dr. Hashim Mohamed(kushoto), akikabidhi mashuka kwa mgeni rasmi, diwani wa Mlandizi mama
Ndessi baada ya kufanya ziara katika katika wodi ya akina mama na
watoto Kituo cha Afya Wilayani Mlandizi na kukabidhi mashuka kwenye
kituo hicho.
Mjumbe
wa bodi aliyemuwakilisha Mwenyekiti wa bodi ya NHIF Dr. Hashim Mohamed
(katikati), akisisitiza jambo mara baada ya kumaliza ziara hiyo wilayani
Mlandizi.
Wajumbe
wa bodi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ndugu Charlse Kajege na Dr.
Mohamed Hashim wakiwa na diwani wa Mlandizi Mama Dessi wakitandika moja ya mashuka yaliyotolewa na NHIF.katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha Afya Wilayani Mlandizi.
Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti,Raphael Mwamoto(kushoto), akimtambulisha
Mkurugenzi wa huduma za utabibu na ufundi Dr. Frank Lekey ambaye
waliambatana katika ziara hiyo wilayani mlandizi.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269