Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi wa maeneo hayo. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akimuonesha Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu moja ya nguo za kufanyia usafi wakati walipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akimuonesha Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu moja ya nguo za kufanyia usafi wakati walipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania (TBL), Dorris Malulu, akizungumza wakati wa hafla hiyo, kiwandani jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu aliyekabidhiwa vifaa hivyo.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin, akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa vya usafi kwa Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kushoto) kwa ajili ya kufanyia usafi maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa mbalimbali vya usafi vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi hiyo kwenye maeneo hayo.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi nguo za kuvaa wakati wa kufanya usafi, wakati TBL ilipokabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani jijini Dar es Salaam jana. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, reki za kufanyia usafi.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, reki na glovu za kufanyia usafi. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, mfano wa hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi za usafi wa maeneo hayo. Wengine pichani ni baadhi ya Wenyeviti wa Mitaa ya maeneo hayo.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kushoto), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, mfano wa hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi za usafi wa maeneo hayo. Wengine pichani ni baadhi ya Wenyeviti wa Mitaa ya maeneo hayo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (kushoto), wakati wa makabidhino hayo.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu (kulia), akizungumza na Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), wakati wa makabidhino hayo. Wapili kushoto ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu na kushoto ni Mhandishi wa Ujenzi, Kiwanda cha TBL, John Malisa.
Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu, akiwapa nasaha viongozi wa maeneo hayo, juu ya kuvitunza vifaa hivyo vya usafi pamoja na mambo mengine.
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin, akijadiliana jambo na Ofisa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Dorris Malulu, wakati wa hafla hiyo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269